KIFUA KIKUU: UGONJWA UNAOUA ZAIDI YA WATU MILIONI 1 DUNIANI KILA MWAKA


Mgonjwa wa kifua kikuu akipatiwa matibabu.
KWA Tanzania, watu 120,191 hukisiwa kuwa na ugonjwa wa kifua kikuu kila mwaka, hii ni kutokana na taarifa ya Shirika la USAID ya mwaka 2007 na vifo vinavyotokana na ugonjwa wa kifua kikuu ni 32,000 kila mwaka hapa nchini Tanzania.
Muonekano wa mapafu ya binadamu yaliyoathirika kwa TB.
Takwimu za Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) zinaonyesha kuwa Tanzania ni ya 15 kati ya nchi 22 ambazo zimeathiriwa sana na ugonjwa huu na kwa mujibu wa takwimu za shirika hilo, kwa dunia nzima…

No comments:

Post a Comment