LIL WAYNE: DRAKE ALINITHIBITISHIA KULALA NA MPENZI WANGU NIKIWA GEREZANI


Lil Wayne (kulia) na Drake.
RAPPA wa nchini Marekani, Lil Wayne katika kitabu chake ambacho kitatoka hivi karibuni, amefunguka kuwa wakati yupo gerezani, mwanamuziki mwenzake aitwaye Drake alimthibitishia kulala na mpenzi wake.
Lil Wayne akiwa stejini na Drake.
Lil ameyafunguka hayo katika muswada wa kitabu chake kipya kitakachotoka hivi karibuni. Lil ameandika kuwa akiwa gerezani katika Kisiwa cha Rikers, Julai 2007 akitumikia kifungo cha miezi nane kwa kumiliki silaha kinyume na sheria, Drake…

No comments:

Post a Comment