MREMBO anayekimbiza na ngoma ya Ulithemba, Esterlina Sanga ‘Linah’, juzikati alifunguka kwamba, wivu wa mchumba wake Nangari Kombo ‘Nanga’, nusura umkoseshe mamilioni ya fedha alizopewa kwenye udhamini na Kampuni ya Serengeti.
Akiteta na paparazi wetu ndani ya Ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam hivi karibuni, alisema katika maisha yake ya kimapenzi amejifunza jambo muhimu sana la kupunguza wivu kwani ukizidi sana unaweza kumsababishia mtu…
No comments:
Post a Comment