Hatimaye mbunge wa Monduli, Edward Lowassa amesema “ameshawishika” na kuweka bayana kuwa atachukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Lowassa, ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Nne, amekuwa akitajwa kuwa ni mmoja wa makada wa CCM wanaowania urais, lakini hakuwahi kutangaza nia ya kuwania nafasi hiyo ya juu ya uongozi nchini. Lakini ...

No comments:
Post a Comment