MCHUNGAJI ADAIWA KUTELEKEZA MKE


Stori: HAMIDA HASSAN/Risasi

Mchungaji wa kanisa analosali msanii wa filamu za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ na wenzake lililopo Sinza, Dar, Godwin Mwamposa amekanyaga skendo kufuatia madai ya kumtelekeza mkewe aitwaye Sylvia mwenye mtoto mmoja ambayo imetua kwenye dawati la gazeti hili.
Mchungaji Godwin Mwamposa na mkewe siku ya ndoa yao.
Ndugu wa Sylvia afunguka

Awali, ndugu aliyejitambulisha kuwa anaishi na Sylvia (jina tunalihifadhi kwa sababu maalum) alisema mke wa mchungaji huyo kwa sasa anaishi maisha magumu maeneo ya Buza jijini Dar baada…

No comments:

Post a Comment