MKE AMZABUA MUMEWE


Stori: MASHAKA KASUSI, Mwanza/Risasi

KUNA kasumba ya kizamani kuwa wanaume ndiyo waliokuwa wanawapiga wake zao lakini inavyoonekana sasa kibao kimegeuka baada ya mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Irene Edwin kudaiwa kumzaba mumewe, Amani Joseph, wote wakazi wa maeneo ya Misungwi mkoani hapa kisa kikielezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Irene Edwin akimshushia kichapo mumewe.
Tukio hilo lililoshuhudiwa mchana kweupe lilijiri hivi karibuni maeneo hayo ambapo Irene alimfuma mumewe akiwa baa na mchepuko wakiponda raha.Kwa mujibu wa shuhuda…

No comments:

Post a Comment