MWANA DAR LIVE ATAKAYEFUNIKA CHEKECHA CHEKETUA KUZAWADIWA


Andrew Carlos/Risasi

IKIWA imebaki wiki na siku kadhaa kufika Aprili 5, mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) ambapo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, jijini Dar kutakuwa na bonge moja la shoo kutoka kwa Ali Kiba ‘Mwana Dar Live’ kizuri ni kwamba atakayefunika kwa kucheza Wimbo wa Chekecha Cheketua kuzawadiwa.
Ali kiba.
Akizungumza na Mikito Nusunusu, mratibu wa burudani katika ukumbi huo, Abdallah Mrisho ‘Abby Cool’ alisema kuwa mbali na uwepo wa Mwana Dar Live siku hiyo pia ataandika historia ya aina…

No comments:

Post a Comment