Video:Nuhu Mziwanda Afunguka Makubwa Kuhusu Kupigwa na Shilole Pia Kutokujua Lugha ya Kingereza



Kwa mara ya Kwanza, Nuhu Mziwanda amefunguka mambo kibao ya chumbani baada ya kufanyiwa mahojiano ya kina na Udaku Tv.

Tazama Video hapo chini umsikie alivyolizungumzia suala la kunaswa vibao na Shilole pamoja na changamoto za lugha ya kiingereza.


http://www.mpekuzihuru.com/2015/03/videonuhu-mziwanda-afunguka-makubwa.html

No comments:

Post a Comment