0 Comments 0 Likes MWANDISHI WETU MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa baada ya kukanusha kuwa hana ugonjwa wa Ukimwi, mpenzi wake amemcharukia kweli akihoji kwa nini akanushe kama hana? Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’. Akizungumzia tukio hilo, Amanda alisema baada ya gazeti la Ijumaa la wiki iliyopita kuripoti akimchana shabiki aitwaye Joel ambaye aliandika mtandaoni kuwa mwigizaji huyo anatumia vidonge vya ARV ili kuongeza nguvu za kuishi, ndipo mchumba wake…


MWANDISHI WETU
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa baada ya kukanusha kuwa hana ugonjwa wa Ukimwi, mpenzi wake amemcharukia kweli akihoji kwa nini akanushe kama hana?
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’.
Akizungumzia tukio hilo, Amanda alisema baada ya gazeti la Ijumaa la wiki iliyopita kuripoti akimchana shabiki aitwaye Joel ambaye aliandika mtandaoni kuwa mwigizaji huyo anatumia vidonge vya ARV ili kuongeza nguvu za kuishi, ndipo mchumba wake…

No comments:

Post a Comment