HII ndiyo A-Z ya wale watu tisa wanaoshikiliwa na polisi jijini Dar baada ya kukamatwa msikitini wakiwa na milipuko 30, sare za jeshi na bendera nyeusi inayodaiwa kutumiwa na kundi la wapiganaji wa Al Shabaab. Mmoja kati ya watu hao (wa kumi), Hamad Makweka aliuawa.
Watu hao walikamatwa Aprili 14, mwaka huu saa 3:30 usiku katika Kitongoji cha Nyandero Tarafa ya Kidatu wilayani Kilombero, Morogoro wakiwa na silaha hizo ambapo ilidaiwa kuwa, walikuwa wakijiandaa kwenda kufanya…
No comments:
Post a Comment