Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond
Platinumz’.
Musa mateja
KIAPO! Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva,
Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake
wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam’ kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena,
Risasi Jumamosi lina mkanda kamili.
Licha ya Diamond kufunguka hayo, wawili hao
wamekuwa na mapenzi ya vipindi, kuna wakati waliwahi kumwagana kisha kurudiana
na hakuna aliyewahi kutoa tamko zito lakini safari hii Diamond amesema ndiyo
basi tena!
TUJIUNGE NA CHANZO
No comments:
Post a Comment