Kumbukeni na mimi pia ni binaadam... Nina moyo
kama nyie... Au mnadhani napenda kuona wenzangu wana watoto au wana ujauzito
alafu mimi sina hata wa kusingiziwa... Mnaona nafurahia sio.... Hivi mna nini
jamani... Yaani mtu unaweza weka post kwa nia nzuri then people jus come from
nowea wanaanza kukuandikia maneno ya kukuumiza kabisa nafsi hadi mtu unakaa
unajiuliza umemkosea nini mwenyezi Mungu...
No comments:
Post a Comment