DONDOO MUHIMU KUELEKEA MPAMBANO WA KIHISTORIA KATI YA MONEY NA PACMAN

Floyd Mayweather (kushoto) na Manny Pacquiao wakipozi na mkanda wa WBC jana wakati wa mkutano na wanahabari.
SIKU mbili tu zimebaki kuelekea mpambano wa kihistoria wa ngumi za kulipwa utakaowakutanisha mabondia Floyd Mayweather (Money) na Manny Pacquiao (Pacman) ndani ya Ukumbi wa MGM Grand jijini Las Vegas, Marekani.
Muonekano wa sasa wa Hoteli ya MGM Grand iliyopo jijini Las Vegas, Marekani.
Mpambano huo umekuwa gumzo kote duniani kwa sababu wapinzani hao wamekuwa wakitafutana kwa muda mrefu kabla ya kukubali kupanda ulingoni na…

No comments:

Post a Comment