FEDHEHA KUBWA MUME WA MTU AKUTWA NA CHANGUDOA AKIVAA SURUALI

WAANDISHI WETU
Ikiwa kwenye misele ya mlala nje, ile Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, imenasa tukio la aina yake ambapo mwanaume aliyejitambulisha kuwa ni mume wa mtu amekutwa na mwanamke changudoa akivaa suruali baada ya kuvunja amri ya sita ya Mungu kwenye eneo la biashara ya mamantilie!
Wakihamaki baada ya kukurupushwa.
Tukio hilo la aina yake lilinaswa kwenye uchochoro mmoja, maeneo ya Mwenge, Dar, majira ya saa 9:00 usiku ambapo wahusika hao ambao hawakutaka kutaja majina walikutwa wakiwa wanavunja amri ya sita kabla ya…

No comments:

Post a Comment