Mayasa Mariwata na Makongoro Ogin’g
Tena? Kwa mara nyingine staa wa Bongo Fleva, Ferooz Mrisho ametiwa mbaroni kwa utapeli akidaiwa ‘kuchikichia’ fedha za kumpangisha nyumba jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Tony Noah kiasi cha zaidi ya Sh. milioni 3.2 kisha kuingia mitini ikielezwa kuwa nyumba hiyo ina mgogoro.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika, ilidaiwa kwamba, staa huyo aliyewahi kutamba na Ngoma ya Starehe amekuwa na tabia ya kuwaingiza watu mkenge kwa lengo la kutafuta mpangaji kwenye nyumba hiyo…
No comments:
Post a Comment