Waandishi wetu
WAKATI mwili wa bilionea Lusekelo Samson Mwandenga ‘Seki’ aliyefariki dunia Alhamisi iliyopita ukitarajiwa kuzikwa leo mjini Dodoma, mitandao mbalimbali ya kijamii imempa kashfa staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa kumtaja kuwa alikuwa na uhusiano wa ‘kimalovee’ na marehemu huyo, Ijumaa Wikienda linakujuza.
Seki ambaye alikuwa na urafiki mkubwa na mastaa mbalimbali wa Bongo Movies, alifariki dunia baada ya kuanguka nyumbani kwake Madale jijini Dar ikidaiwa…
No comments:
Post a Comment