Umati wa
abiria wakiwa kwenye kituo cha daladala cha Darajani-Ubungu huku kukiwa hakuna
daladala yoyote inayofanya kazi baada ya kutokea kwa mgomo wa madereva wa
Daladala jijini Dar.
Baadhi ya
abiria wakiwa wamepanda magari ya mizigo baada ya kukosekana kwa daladala maeneo
yote ya jiji la Dar es Salaam leo asubuhi.
MMoja wa
abiria akiongea na dereva wa kibasi kidogo kuangalia kama kuna uwezekano wa
kupata usafiri maeneo ya Mwenge jijini Dar.
Katika
kituo cha mabasi cha Mpakani eneo la Mwenge zilionekana Bajaj zikipakia na
kushusha abiria baada ya madereva kuingia kwenye mgomo leo
asubuhi.
(Picha na Pamoja Blog)
(Picha na Pamoja Blog)
No comments:
Post a Comment