MAJAMBAZI WANASWA NA JESHI LA POLISI DAR

Vijana ambao wametiwa nguvuni kwa tuhuma za ujambazi huku wakiwa wamekamatwa wakiwa na bunduki mbili Wakiwa wamelazwa chini mara baada ya kutiwa nguvuni


Polisi wakiwa wamelizingira gari lililokuwa likitumiwa na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi ambao wamempora raia mmoja wa kigeni na kufanikiwa kukimbia huku msamaria mmoja ambaye aliwaona na kuamua kuwafuatilia huku akiwasiliana na polisi na hatimaye kufanikiwa kuwatia nguvuni

No comments:

Post a Comment