The socialite, The Actress kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Bongo Movie Wema Sepetu, baada ya kutangaza kuwa anatatizo la kutozaa kwa muda mrefu na angetamani siku moja kupata mtoto wamejitokeza madakatari wengi na kutaka kumtibu.Lakini kabla ya kuanza kumtibu amewapa angalizo kwamba wakati anaanza kutiwa akawa na mwenza wake kabisa ambae wwatukuwa wamekubaliana pale tatizo litakapokuwa limeisha tu basi mara moja waweze kupata mtoto..Hilo ndilo angalizo la Wema Sepetu ambae anatamani sana kupata mtoto huku watu wengine wakijaribu kuwa Mungu na kumuhukumu kitu ambacho kimekuwa kikimuumiza sana.
Wema muombe Mungu atakusaidia kwani hakuna linalomshinda yeye ndiye anayejua amekuleta duniani kwa mission gani!!Hii ni Moja Kati ya Picha za Wema Sepetu zinazorushwa mtandaoni toka Jana zikiwa Hazina maelezo ya Kutosha kama ni mgonjwa ama ni Project ya Movie! Picha zinaonyesha Mazingira ya Hospitalini akihudumiwa na Manesi....
Mashabiki wake wengi leo wanauliza Je ndio Matibabu ya Kupata Mtoto yameanza ?Hii imekuja baada ya habari kuzagaa kuwa Waganga mbali mbali wamejitokeza Kumsaidia ili kutatua tatizo lake la kutopata ujauzito..

No comments:
Post a Comment