Kwa mujibu wa chanzo, kwa muda mrefu wawili hao wamekuwa wakionekana sambamba kama kumbikumbi hasa nyakati za usiku katika maeneo tofauti ikiwemo studio ambayo Manecky anafanyia kazi zake na sehemu nyingine. “Rose na Manecky ni wapenzi kwani muda mwingi wako pamoja, wanaongozana kama kumbikumbi hasa usiku. Huwa…
No comments:
Post a Comment