SAMSUNG TANZANIA YAFUNGUA DUKA MBEYA‏


Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Tanzania Hy zong Sun Seo, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka la Samsung mkoani Mbeya ambalo litatumika pia kama kituo cha huduma za wateja katika hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki mjini Mbeya,wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa kampuni hiyo.…

No comments:

Post a Comment