Walimu Watatu Wamchapa Mwanafunzi wa Kidato cha Pili viboko Hadi Kufariki kwa Kufeli Mtihani wa Kiswahili huko KITETO
Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya
Sekondari Matui wilayani Kiteto, amefariki dunia darasani baada ya kudaiwa
kuchapwa viboko na walimu watatu wa shule hiyo, kwa kile kilichodaiwa kufeli
mtihani wa Kiswahili.
No comments:
Post a Comment