Ofisa Mkuu wa Uhusiano wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (wa pili kutoka kushoto) akimkabidhi chetu cha uhitimu mmoja wa wahitimu wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru wakati wa mahafali ya shule hiyo yaliyofanyika mjini Moshi, Kilimanjaro mwishoni mwa wiki. Ofisa huyo aliwakilisha wafanyakazi wa Vodacom kupitia Vodacom Foundation ikiwa ni sehemu ya mchango wao katika kusaidia wasichana katika elimu ambapo kampuni hiyo pia ilitoa msaada wa mashine ya kutoa nakala na kuchapisha nyaraka kwa shule hiyo. Wengine ni Wajumbe wa Bodi ya Shule.…
No comments:
Post a Comment