NYOTA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ambaye alipata ajali na kusababisha kukatwa kwa mguu wake wa kulia, juzikati alijikuta akianguka chooni akiwa nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam na kuumia mguu wake mzima.
Chanzo cha habari kilichokuwepo wakati wa tukio hilo, kililiambia gazeti hili kuwa Wastara alilazimika kuchechemea kwa kutumia mguu wake wa bandia aliowekewa, wakati akitoka ili kuwapata wasamaria wema kuelekea hospitalini.
“Ungemuona kiukweli…
No comments:
Post a Comment