Watu 10 wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha magari matatu katika eneo la Mkata kijiji cha Mbweni wilayani Handeni Mkoani Tanga majira ya saa 5 asubuhi ya leo.
Akizungumza na East Africa Radio Kamanda wa kikosi cha usalama barabara mkoa wa Tanga, Mohammed Mpinga amesema kuwa ajali hiyo imehusisha mabasi mawili ya abiria na gari dogo katika barabara ya Dar es…

No comments:
Post a Comment