HUKU wakidaiwa kuogelea kwenye utajiri wa mabilioni ya fedha, nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameibukia kwenye Gazeti la Amani na kusema kuwa, amefunga ndoa ya kimyakimya na mpenzi wake wa sasa, Zarina Hassan ‘Zari’ ambaye ni nyota wa muziki wa kizazi kipya, nchini Uganda na Afrika Kusini.
Diamond aliyasema hayo juzi jijini Dar es Salaam alipofanya mahojiano na waandishi wetu baada ya kumuuliza…
No comments:
Post a Comment