 |
| Leo ni
sikukuu ya kuzaliwa kwa Nuh Mziwanda,Maganga One nachukua fursa hii kwa
kumpongeza kijana huyu siku ya leo.Mungu ampe maisha mrefu yenye furaha na
amani.tukiwa pamoja nyumbani tutasheherekea siku
hii. |
 |
| Pongezi
sana bwana mdogo kwa sikukuu yako ya kuzaliwa,Pichani Maganga One akimpongeza
kijana Nuh Mziwanda kwa sikukuu yake ya kuzaliwa leo hii.Pembeni kwa Nuh ni
mchumba wake na Nuh msanii Shilole.kwa matukio zaidi ya sherehe yake unaweza
kumfollow Nuh mwenyewe kwenye ukurasa wake wa
instagram. |
Shilole akimlisha keki
mchumba wake Nuh Mziwanda leo hii katika kumpongeza kwenye siku yake ya
kuzaliwa.
No comments:
Post a Comment