KITENGO maalum cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers ambacho kimeendelea kujiimarisha kiutendaji, katika kuhakikisha kinafanya kazi yake ipasavyo, sasa imetega kamera kupitia mapaparazi wake ambao watakuwa wakizunguka kila kona ya Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake, Risasi Mchanganyiko linakubapa kinaga ubaga.
Kamanda Mkuu wa OFM (jina linahifadhiwa kwa sababu za…
No comments:
Post a Comment