KAJALA AJITOA UFAHAMU


Musa mateja

CHIZIKA! Katika hali ambayo haikutarajiwa, staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amewaacha watu midomo wazi kwa kukatika mauno hadharani.
Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja akikata mauno.
Tukio hilo la aina yake lilitokea hivi karibuni maeneo ya Twende Polepole, Mkoa wa Pwani kwenye sherehe ya kumkaribisha mtoto wa mwigizaji Aunt Ezekiel (Baby Shower) iliyohudhuriwa na watu wengi akiwemo Kajala.
Awali, mwanahabari wetu aliyekuwa akikusanya matukio eneo hilo alimshuhudia Kajala akipata ‘kilaji’ kisha…

No comments:

Post a Comment