KUMBE! ZARI, MADAM RITA NI NDUGU

Musa Mateja na Gabriel Ng’osha
Kumbe! Machoni pa wengi maswali yaliibuka miongoni mwa mashabiki wa mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘The Boss Lady’ baada ya kumuona akiwa ‘klozi’ na Bosi wa Bongo Stars Search (BSS), Rita Paulsen ‘Madam’ kwenye shoo ya Zari All White Party iliyofanyika juzikati kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar.
Madam Rita akiwa katika pozi na Zari walipokua kwenye Zari All White Party.
Katika ‘iventi’ hiyo, Madam Rita alikuwa beneti na Zari hivyo baadhi ya watu…

No comments:

Post a Comment