MADAI: KAJALA AMPA DONGO WEMA


Brigthon Masalu

KAJALA Masanja ambaye ana bifu na aliyekuwa shosti wake mkubwa, Wema Sepetu ‘Madam’ amedaiwa kumpa rafiki yake huyo wa zamani ujumbe unaoashiria upendo kwa kuvaa gauni lenye maandishi yaliyosomeka “Love will save us” yakimaanisha upendo utatuokoa.
Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja.
‘Katukio’ hako kalinaswa na mwandishi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ukumbi wa New Maisha, Masaki jijini Dar kulikokuwa na onesho la Mrs. Mabeste Charity (mke wa msanii Mabeste) ambayo ilikusanya wasanii wengi…

No comments:

Post a Comment