KIMENUKA! MKEwa staa wa sinema za Kibongo, Jimmy Mafufu, Salma Sadiki amenaswa akifungasha virago nyumbani kwake Mwananyamala-Hospitali na kuelekea kwa wazazi wake maeneo ya Mbagala jijini Dar akidai kuchoshwa na tabia za mumewe huyo, Ijumaa lina ‘full’ stori.
Akizungumza na mapaparazi wetu, Salma alisema kwa kipindi kirefu msanii huyo amekuwa akimuonyesha tabia za ajabu ikiwemo hivi karibuni kunaswa akiwa…
No comments:
Post a Comment