Eneo la Stendi Kuu ya Mabasi Bagamoyo lilivyokumbwa na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha.
Maji yakitapakaa eneo la Stendi Kuu ya Bagamoyo hivyo kusababisha usafiri na biashara ndogondogo kusitishwa kwa muda.
Gari likiwa limesombwa na mafuriko eneo la Kipunguni Makaburini jijini Dar.…

No comments:
Post a Comment