STAA wa Bongo Fleva nchini, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amefunguka kuhusu mali zake anazomiliki.
Nay ameyafunguka hayo wakati akihojiwa katika Kipindi cha Sporah kinachoruka kupitia Runinga ya Clouds TV kila Jumanne usiku.
Nay wa Mitego akipozi na Mtangazaji wa Kipindi cha Sporah.
Staa huyo amesema anamiliki nyumba tatu, magari matatu ambayo ni Toyota Prado, Nissani Murano na Toyota Passo.Mbali ya vitu hivyo pamoja na muziki, pia staa huyo anavitega uchumi ambavyo vinamuingizia kipato ikiwemo bajaj, saluni na…
No comments:
Post a Comment