Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo amekagua
baadhi ya maeneo yaliyoathiriwa vibaya na mafuriko jijini Dar es Salaam na
kuwapa pole wakazi wa maeneo hayo..Maeneo Aliyotembelea Rais leo ni Mbagala
Mwanamtitu na Daraja la Msimbazi ambapo amejionea uharibifu uliofanywa na mvua
zinazoendelea kunyesha.Pichani Rais Kikwete akiangalia Darala la Mwanamtitu
Mbagala lililosombwa na maji na daraja la muda la miti lililojengwa na wakazi wa
Eneo hilo na kisha kuwapa pole kwa adha wanazozipata
Rais Dkt..Jakaya Mrisho Kikwete akikagua
Daraja la mto Msimbazi Eneo la Jangwani wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam
leo.
.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa
maelekezo kwa mhandisi wa TANROADS kutoa uchafu ulijaa chini ya daraja la
Msimbazi eneo la Jangwani
Picha na Freddy Maro
No comments:
Post a Comment