Wasanii wawili
wanaotamba Bongo hivi sasa Shilole na Nuh Mziwanda wametua leo nchini Ubelgiji
tayari kwa show yao ya jumamosi.Wakiwa na nyuso za furaha hotelini walipofikia
wameahidi kufanya bonge la show kwa pamoja.wameomba wapenzi wao wajitokeze kwa
wingi kuja kushuhudia burudani.
Nuh Mziwanda kushoto akiwa
na Shilole a.k.a Shishi Baby wakiwa tayari kuwapagawisha wapenzi wao jumamosi
hii hapo Antwerpen.
No comments:
Post a Comment