taswira ya Dar es salaam asubuhi hii

Taswira ya asubuhi barabara ya Kivukoni jijini Dar es salaam kuashiria kwamba mgomo wa madereva wa mabasi unaendelea kwa siku ya pili leo


No comments:

Post a Comment