ZARI ATESWA NA PICHA YA KATUNZI


Mchumba wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarina Hassan ‘Zari’.
MUSA MATEJA

MCHUMBA wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarina Hassan ‘Zari’ amedaiwa kuangua kilio baada ya kuvuja kwa picha yake na mfanyabiashara maarufu jijini Dar, Mzamili Katunzi ambayo ilidaiwa kuwa ni mtu wake na kusababisha gumzo mjini.
Zarinah Hassan ‘Zari’ akiwa na pedeshee maarufu Bongo, Muzamili Issa Katunzi.
Mtu wa karibu na Zari amefunguka kuwa Zari alijisikia vibaya…

No comments:

Post a Comment