PENNY: MITANDAO ILITAKA KUNITOA UHAI WANGU


Ndani ya safu hii leo tunakutana na Mtangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’ ambaye yuko kimya katika masuala ya utangazaji tangu alipoamua kuondoka Radio E FM.
Mtangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’.
Msikilize Penny alipobanwa kwa maswali kumi na Mwandishi Wetu Imelda Mtema.

Ijumaa: Upo kimya sana shosti, ni nini unachofanya kwa sasa?

Penny: Sasa hivi mimi ni mbunifu wa mpangilio wa nyumba na ofisi ambapo namshauri mtu aiwekeje nyumba yake katika muonekano mzuri wenye mvuto pamoja na ofisi kwa ujumla.
Ijumaa: Mambo ya utangazaji umeachana nayo au una mpango wa kusaka kazi…

No comments:

Post a Comment