KIAPO! Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi
nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefungukia msimamo
wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam’ kwa kusema kuwa kamwe
hawezi kumrudia tena, Risasi Jumamosi lina mkanda kamili.
No comments:
Post a Comment