TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA ZIWA NYASA LEO

Mtoto mkazi wa Rupingu akitoka kuchota maji katika kina kirefu cha ziwa Nyasa baada ya ziwa kuchafuka na hivyo maji ya pembeni kuwa na uchafu mwingi.

Wakazi wa Rupingu Ludewa wakitazama abiria wakishuka katika boti baada ya ziwa kuchafuka.
Wasafiri wakishuka katika boti kuhairisha safari baada ya ziwa nyasa kuchafuka

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment