My God! Mwanaume aliyetajwa kwa jina moja la Nigar, mkazi wa Kijiji cha Kinole, Morogoro Vijijini anadaiwa kumcharanga mapanga mkewe, Halima Abdallah (28) na kummyofoa titi kisha kulitafuna na kumgeukia mwanaye Tausi (3) na kumtenganisha kichwa na kiwiliwili. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1EwRaMm
No comments:
Post a Comment