ASKARI MAGEREZA ALIYEPANGA MAUAJI STAKISHARI AUAWA

Makongoro Oging’ na richard bukos, mkuranga 

MAPYA tena! Aliyekuwa askari magereza wa Gereza la Dondwe, Wilaya ya Mkuranga, Pwani, Juma Rashid ambaye Uwazi liliwahi kumripoti kuwa, ndiye ayechora ramani yote ya uvamizi na mauaji ya askari wa Kituo cha Polisi Stakishari, Dar imebainika kwamba ameuawa, Uwazi linazidi kukokotoa. ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1MznZjy

No comments:

Post a Comment