Video Queen wa Kibongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amewabwatukia watu wanaomsonga na maneno kuwa anaishi mjini kwa kuyanadi makalio yake mtandaoni. Akizungumzia madai hayo, Masogange amesema kuwa umbo lake amejaliwa na Mungu na halitumii kama vile wengi wanavyodhani kuwa anajinadi kwenye mitandao ili kuwakamata midume. “Watu wengine sijui wakoje, kila mtu ana mfumo wa...
No comments:
Post a Comment