MTOTO WA DIAMOND, VISA VYAANZA

Shani Ramadhani
VISA vimeanza! Siku chache baada ya nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kupata ‘baby girl’ aliyempa jina la Latifah kupitia kwa mzazi mwenziye Zarinah Hassan ‘Zari’ kuna madai kwamba, jina la Latifah limezua mambo, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili.....Soma zaidi===>http://bit.ly/1P0lrbZ

No comments:

Post a Comment