Dustan Shekidele, Morogoro
SHANGWE! Katika tukio linalotokea kwa nadra, wazee kumi ambao wameishi kinyumba kwa miaka mingi,Jumamosi iliyopita walibariki ndoa zao katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Monica, lililopo Tungi mkoani Morogoro, huku zoezi hilo likitikisa kila kona ya mjini hapa. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1U2ZWZC
No comments:
Post a Comment