SEMINA YA KUWEZESHA KUMUDU MASOMO YA VYUO VIKUU VYA INDIA, CHINA‏


Mkurugenzi wa Global Link Education (GEL) ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Abdulmaliki Mollel akitoa maelezo katika semina ya kuwajengea uwezo wazazi na wanafunzi wanaokwenda kusoma Vyuo Vikuu vya India na China leo katika ofisi zao zilizopo viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
 Meneja Mkuu wa Global Link Education (GEL) ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, David Nsimba akitoa semina ya kuwajengea uwezo wanafunzi wanaokwenda kusoma Vyuo Vikuu vya India na China leo katika ofisi zao zilizopo viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.…

No comments:

Post a Comment