Kampuniya NOFO ya jijini Dar es Salaam, inayojihusisha na uchapishaji na uuzaji wa vitabu vya hadithi za watoto, inatangaza nafasi kumi za kazi ya afisa masoko. Wenye sifa zifuatazo watume maombi kupitia baruapepe ndejarini@gmail.com kwenda kwa GENERAL MANAGER, NOFO, DSM
(1) Shahada ya kwanza au stashahada ya juu ya biashara katika masoko
(3) Ari na moyo wa kufikia malengo uliyowekewa
(4) Uwezo wa kujieleza vizuri mbele ya watu wengi
Mwisho wa kupokelewa kwa maombi ni Alhamisi saa nane mchana tarehe 13 Agosti 2015. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0767-195912/0713195912.
No comments:
Post a Comment