WALIOKUFA MLIPUKO WA CHINA WAFIKIA WATU 50, MAJERUHI 700

 
Mlipuko mkubwa uliotokea katika mji wa Tianjin kaskazini mwa China umeuwa watu 50 huku wengine wapatao 700 wakijeruhiwa.
 Moshi mweusi bado umetanda kutoka ghala hilo lililopo katika mji wa bandari wa Tianjin ambako milipuko ilitokea jana usiku.

No comments:

Post a Comment