KABAANG! Mwanadada asiyeishiwa matukio Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ amenaswa kimalovee na rafiki wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku ikidaiwa ni ‘mtu’ wake.Chanzo makini kililiambia gazeti hili kwamba jamaa huyo ambaye anajiita Dangote Kifyagio ni rafiki wa Diamond ambaye alikuwa akimsaidia mambo yake kimuziki ili awe juu. ...Soma zaidi====>http://bit.ly/1Us13nE
No comments:
Post a Comment